Saturday, May 15, 2010

Musa na Lisa wakikabithi tuzo


Rapa bora wa band 2009 - 2010 Kharid Chokoraa akipokea tuzo kutoka kwa musa na lisa ambao ni watangazaji wa kipindi cha Burudani ni Nyumbani kinachorushwa kupaitia TBC1 kila jumamosi saa 12 jioni. 

Twanga pepeta wakitumbuiza


Wanamuziki wa twanga pepeta wakitumbuiza kwenye Kili music awards.

Wanamuziki wa twanga pepeta


Baadhi ya wanamuziki wa twanga pepeta wakiwa kwenye pozi na mwenyekiti wa Afrcan stars Baraka Msilwa huku wakionyesha alama ya vidole 3 wakamaanisha tuzo 3 walazozinyakuwa.

King Kiki na Chaz Baba


Mwanamuziki wa twanga pepeta chaz baba kingunge akipokea tuzo ya nyimbo bora ya kiswahili ya band kutoka kwa king kiki.

Nyosh el Saadat na Jose Mala


Wanamuziki wa fm Academia wakiwa kwenye pozi katika tuzo za Kili Misic Awards

Sunday, May 2, 2010

Top in Top afanya makamuzi ya nguvu London

Msanii wa kizazi kipya tid akifanya makamuzi

Saturday, March 20, 2010

Kweli nimeamini Burudani ni Nyumbani Mh Mohammed Dewji Azidiwa

Ngoja nijaribu sijui nitachekesha
Kweli kila mtu na kazi yake, sijui niluke chini.
Mh Mohammed Dewji alishindwa kujizuia baada ya kupagawishwa na bendi ya Twanga Pepeta, cha kushangaza aliendanao sambamba na kuwaachia maswali wapenzi na wadau wa muziki kwamba amejifunzia wapi? lakini baada ya mda akawajibu kuwa ni mfuatiliaji mzuri sana wa kipindi cha Burudani ni Nyumbani kinachorushwa kupitia Tbc1.

Akudo Impact yaipua vibayo viwili, Heshima kwa wanandoa iliyotungwa na Cristian Bella na nyingine Ubinafsi iliyotungwa na Tarsis Masela

Toto ze Bingwa (Rapa wa Akudo Impact)
Akudo Impact wakiwa kazini

Rais wa Akudo Impact Cristian Bella a.k.a Obama,. kwa taarifa tu ni kwamba Bell amefiwa na kaka yake na anatalajia kuondoka kwenda Congo baada ya kumaliza tu show za pasaka. Burudani ni Nyumbani inampa pole sana na inamtakia safari njema.


SIO KUIMBA TU NA HUKU NIMO!


Mwanamuziki Khalid Mohamed a.k.a TID, akiwa mazoezini na inasemekana ni desturi yake kila siku kufanya mazoezi. INAPENDEZA

Salam ni muhimu


Mwanamuziki wa Fm Academia Patcho Mwamba (Tajili) akiwasalimia wanamuziki wa Twanga pepeta na wapenzi kwa ujumla katika ukumbi wa Club Bilcanas, Twanga hutumbuiza kila jumatano.

Musa na Lisa wakiwasili kunduchi beach hotel kwenye semina ya siku 2 ya Kili Music Awards

Kutoka kushoto ni Dina Marios, Lisa na Musa

Unawafahamu hawa? ni baadhi ya watangazaji maarufu wa kike wakiwa katika picha ya pamoja, na ndio majaji wa kike pekee wa Kili Music Award

Lisa akiwa na watangazaji wenzake wakike

Mashujaa band wakifanya vitu vyao katika moja ya shoo zao wanazopiga pale mashujaa pub

Warembo wa Mashujaa band wakiwa kazini

Friday, March 19, 2010

Dogo Rama na Luiza Mbutu wakifanya vitu vyao.

Wasanii Mahiri wa Bendi ya Twanga pepeta, Luiza mbutu (Kulia) na dogo rama (mwenye jeans) wakikamua kiufundi katika moja ya show zao.